LILI KIM APANDA JUKWAANI NA VAZI LINALOONYESHA MAUNGO YAKE YOTE NA KUONEKANA KAMA YUKO UCHI...! CHEKI PICHA HIZI HAPA WE MWENYEWE UTASHANGAA
Lil
Kim mwanamuziki wa kike mwenye umri wa miaka 39 Aliwapagawisha wakaazi
wa London Siku Ya Ijumaa Tarehe O2/11/2013 aliwaacha midomo wazi
mashabiki kwa vazi alilolitinga yani mambo yote hadharani haina tofauti
na kupanda Jukwani Uchi..!
0 comments:
Post a Comment